| Bango Hili Linashinikiza Ubalozi Wa Marekani Ufungwe |
![]() |
| Bango hili linasema kwa gharama yoyote Ile hawatakubali Mtume adhalilishwe |
![]() |
| Siku Ya leo Baada Ya Swala Ya Ijumaa Maandamano Yakafanyika Dar Kupinga Kudhalilishwa kwa Mtume. |
| Tshirt hii inasema Wako Tayari Kufa Kupinga Mtume Kudhalilishwa |





No comments:
Post a Comment