Tuesday, September 11, 2012

Breaking News:Mh.Nchimbi Atimuliwa Jangwani

waandishi wakamilisha maandamano yao kwa nguvu  kuanzia chanel 10 hadi viwanja vya jangwani na kubwa lililotokea ni kutoa matamko mbalimbali na pia inasemekana Mh.waziri Nchimbi ametimuliwa katika uwanja huo alipoenda akitaka kuongea na waandishi wa habari walio andamana.


Kwa habari zaidi ungana nasi baadaye

Angalia PICHA Waziri NCHIMBI AKITIMULIWA NA WAANDISHI wa HABARI

Waziri wa mambo ya Ndani, Dk. Nchimbi nae alivamia hapa na wanahabari wa jijini Dar es Salaam kumkataa na kuamua kuondolewa na vijana wake kwa kuhofia usalama wa ke dhidi ya Camera na Kalamu.

No comments:

Post a Comment