Usiku wa kuamkia leo katika klabu ya usiku ya New Maisha Club, Ommy Dimpoz pamoja na mwanadada Vanessa walikuwa na special video premier night kwa wimbo wake “me & you” ambao wameshirikiana.
Katika uzinduzi wa video hiyo mastaa kadhaa walijitokeza ku shoo love
pamoja na kutumbuiza wakiwemo Diamond, Dully, Mwana FA, Chege, kundi la
Shostiz, Madee, Godzilla na wengine.
Pia on the same note mwanadada DeeAndy wa Clouds FM naye alijumuika na
Ommy Dimpoz katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo baadhi ya
wanafamilia wa radio hiyo wakiwemo B12 na Dj Zero walimpa sapoti katika
usiku wake huo special.Kama kawaida bongo5.com ilikuwepo ndani ya nyumba
na hizi ni baadhi ya picha za usiku huo.
No comments:
Post a Comment