MWENYEKITI wa Taifa, Freeman Mbowe leo ameingia Jijini Mbeya, kwa ajili
ya vikao vya ndani kwa ajili ya maandalizi ya uzinduzi wa Kanda ya
Nyanda za Juu Kusini (Ruvuma, Njombe, Iringa na Mbeya) utakaofanyika
kesho kwenye Viwanja vya Dkt. Slaa (zamani Mama John), ikiwa ni
mwendelezo wa mikutano ya ndani na hadhara kutekeleza maamuzi ya Baraza
Kuu la CHADEMA, kuielezea dhana ya uendeshaji wa chama kupitia kanda
ambayo lengo lake kuu ni kushusha mamlaka ya uendeshaji wa chama katika
ngazi ya chini, simply decentralization of powers from the centre.
No comments:
Post a Comment