Friday, November 29, 2013

UWT KAZINI TABORA LEO


viongozi na watendaji wa UWT wakiwa kwenye Mafunzo- Mjini TABORA yalioanza tarehe 28-30/11/2013
KATIBU MKUU WA UWT AKIONGEA NA WANANCHI WA TABORA MJINI KATIKA MKUTANO WA HADHARA WAKATI AKIWA KWENYE ZIARA YA KANDA YA MAGHARIBI — with Uwt Taifa and uwt taifa.

KATIBU MKUU WA UWT AKIPOKEA KADI YA CHADEMA ILIYORUDISHWA NA KIJANA MMOJA WA IGUNGA MJINI ALIYETAKA KUJIUNGA NA CCM ..
— with Uwt Taifa.

No comments:

Post a Comment