Sunday, November 17, 2013

'Afande sele the king'-asarenda chadema


Hakuna kusanda,hakuna kumbwanda,mbele
kwa mbele makamanda,vua gamba vaa gwanda
kisha kaza mkanda, wanashuka sisi
tunapandaaa,,,,Leo tunaanza kuandika hisyoria
mpya ktk mkoa wetu wa morogoro na tz kwa
ujumla kwa sababu nikiwa kama msanii wa
muda mrefu na mfalme pekee wa mzk wa kizazi
kipya ninaetunga nyimbo zangu kwa kuzingatia
ujumbe muhimu ktk jamii kwa mambo ya
kisiasa,kiuchumi,elimu,amani na upendo
nk,sasa leo nimeamua kwa ridhaa yangu
iliyosukumwa na uzalendo na mapenz makubwa
kwa taifa langu kuchukua kadi ya kujiunga
rasmi uanachama wa CHADEMA,tukio hilo
kubwa litafanyika leo jioni ktk mkutano wa
hadhara utakaofanyika kata yetu ya mafiga/
misufini na utahudhuriwa na viongoz
mbalimbali wa chama kutoka makao makuu ya
chama dsm pamoja na mbunge wa nyamagana
mh ezekiel wenje,kwa wakaz wa moro
wazalendo nyote mnakaribishwa
saaana,ahsanteni wana'ndugu,siasa si
uadui,tupingane/tusipigane,Pendo moja!,,

No comments:

Post a Comment