Thursday, November 21, 2013

Babu Seya Na Papii Kocha Washindwa Tena.


Ile hukumu ya rufaa ya mwanamuziki Nguza Viking na mwanaye Johnson Nguza 'Papii Kocha' imewarejesha jela maisha baada ya hoja za Wanasheria wa serikali za kukazia hukumu kuzidi zile za upande wa utetezi. 

Endelea Kusoma Hapa

Babu Seya na Papii Kocha walihukumiwa kifungo cha maisha jela mwaka 2004 baada ya kupatikana na hatia ya kuwanajisi watoto wa Shule ya Msingi, Mashujaa, Sinza jijini Dar es salaam ambapo wamekuwa wakikata rufaa mara kwa mara lakini wakagonga mwamba. Hukumu hii ya rufaa ndiyo ya mwisho kusikilizwa.


No comments:

Post a Comment