Wednesday, November 13, 2013

Arusha; Picha na maelezo za mkuatano wa CHADEMA leo terehe ( 13.11.2013)

Niko kwenye uwanja wa Ngarenaro kuwaletea kinacho jili kwenye mkutano wa chadema.....
Picha zina kuja...
Click image for larger version. 

Name: DSC06820.JPG 
Views: 0 
Size: 162.8 KB 
ID: 121075
Click image for larger version. 

Name: DSC06825.JPG 
Views: 0 
Size: 164.9 KB 
ID: 121078
Wananchi wakiuliza maswali kwa mbunge wao( Godbless Lema)
Click image for larger version. 

Name: DSC06809.JPG 
Views: 0 
Size: 164.3 KB 
ID: 121076
Mke wa Godbless Lema akielezea namna alivyo jisikia siku alipo tumiwa ujumbe huo wa picha amesema hata katishwa tamaa ndiyo kwanza kasi inaongezeka
Click image for larger version. 

Name: DSC06813.JPG 
Views: 0 
Size: 163.9 KB 
ID: 121079
Lema akiwa ameshikilia picha alizo chafuliwa..
Click image for larger version. 

Name: DSC06818.JPG 
Views: 0 
Size: 163.0 KB 
ID: 121077
Picha zikichomwa moto baada ya wananchi kuzi kataa/ kumzuia Mbunge Godbless lema asiwagawie...
na mdau jf

No comments:

Post a Comment