Monday, November 11, 2013

TANZIA-my brother and my adviser-Ndg. Anselm L. Mrema


Katibu wa Bunge, anaskitika kuwataarifu kifo cha aliyekuwa mfanya kazi wa ofisi ya Bunge ktk idara ya shughuli za Bunge, Mkurugenzi Msaidizi Ndg. Anselm L. Mrema kilichotokea jana usiku tarehe 10.11.2013 ktk Hospitali ya Mkoa, Dodoma.

Ofisi inaendelea na taratibu za mazishi kwa kushirikiana na familia ya marehemu, tutaendelea kuwapa taarifa zaidi kutokana na msiba huo.

mazishi yanatarajiwa kufanyika moshi-kilimanjaro.
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. Amen!

No comments:

Post a Comment