TUNASHUHUDIA MIKOA MINGI YENYE VIONGOZI WA CCM{WABUNGE} INAONGOZA KWA KUFANYA VIBAYA KITAALUMA
TUNASHUHUDIA
MIKOA MINGI YENYE VIONGOZI WA CCM{WABUNGE} INAONGOZA KWA KUFANYA VIBAYA
KITAALUMA NA HATA KIMAENDELEO,MFANO SINGIDA,LINDI,MTWARA,DODOMA
N.K.INAAMINIKA KUMTAWALA MJINGA NI RAHISI SANA. NASHINDWA KUELEWA
VIPAUMBELE VIKUBWA WANAVIWEKA WAPI,NI WAZURI KWELI KWENYE KUIMBA NA
KUCHEZA "HIYENA HIYENA". MFANO MZURI NI NAIBU KATIBU MKUU AMBAE PIA NI
MBUNGE WA IRAMBA AMBAKO KUNA MAPUNGUFU MAKUBWA KATIKA ELIMU,AFYA N.K.
ALIONA NI VEMA KUITA TIMU YA SIMBA JIMBONI KWA SH.MIL 13 ILI DR.SLAA
ASISIKILIZWE NA WAKATI HATA DAWA HOSPITALI HAKUNA.UPANDE WA ELIMU JIMBO
LA SHUMBI MADELU KATIKA MKOA WA SINGIDA NDIO LA MWISHO KITAALUMA
UKIFATILIA MATOKEO YA MIAKA TOFAUTI.MFANO MWAKA 2012 KIDATO CHA
NNE..MKOA WA SINGIDA UNA JUMLA YA SHULE 94 ZA SEKONDARI,5 BORA KUTOKA
MWISHO ZIMEBEBWA NA IRAMBA AMBAZO NI NEW KIOMBOI SEC,MGONGO SEC NA
KYENGEGE SEC .SHULE YA 94 YANI YA MWISHO KABISA IINAITWA KYENGEGE
ALIKOZALIWA MWIGULU ,KATI YA WANAFUNZI 1804 WA JIMBO LAKE WANAFUNZI 1052
WANA DIV 0,WENYE UWEZEKANO WA KUENDELEA NA ELIMU NI WANAFUNZI 30
TU.HAWANA MADAWATI WALA MADARASA.HALAFU AKIJA HUMU MITANDAONI ANATISHIA
WATU MAISHA NA KUJIKWEZA.MWIGULU SHOULD KNOW THAT WHEN PEOPLE GIVE YOU
AUTHORITY TO BE A LEADER,THEY ARE ACTUALLY GIVING U PERMISSION TO HAVE
AUTHORITY RATHER THAN GIVING U AUTHORITY ITSELF. KWA MAANA NYINGINE
WANANCHI NDIO MABOSI WAKO NA WANA NAFASI KUBWA YA KUKUKOSOA...!
Jessica Kishoa
No comments:
Post a Comment