kuhusu Polisi Mtwara kukamata watu msituni na hivi vifaa vya mafunzo ya Al Shabaab na Al Qaeda
Stori
ambayo ilishika namba 1 kwenye habari 10 za AMPLIFAYA ya Clouds FM
October 7 2013 ni hii ya Polisi Mtwara kukamata vijana 11 ambao walikua
wakifanya mazoezi ya kijeshi waliyokua wakijifunza kutoka kwenye cd za
magaidi zilizokua na mafunzo kutoka kwa makundi ya Al Shabaab na Al
Qaeda.
Taarifa zaidi unaweza kuzisoma hapo chini kwenye hiyo taarifa iliyotolewa na jeshi la polisi.
No comments:
Post a Comment