BREAKING NEWS..............
1. Mitandao mitano ya simu ambayo ni TIGO,AIRTEL,VODACOM,ZANTEL na
SASATEL wamejiunga kwenye kesi iliyofunguliwa na CONSUMERS OF GOODS AND
SERVICES ACROS THE COUNTRY leo mahakama kuu kanda ya Dar es salaam na
kuibua utata wa kisheria na kuilazimu mahakama kupanga muda mwingine wa
kutolea uamuzi wa pingamizi lil;iwekwa na serilkali.
2.Mahakama
kuu kanda ya Dar es salaam imeahirisha shauri hilo hadi jumatano ya
wiki ijayo ambapo shauri la msingi litaanza kusikilizwa baada ya
kumaliza kupokea hoja za pande zote mbili za walalamikaji na
walalamikiwa.
3.Pia itakuwa imemaliza kutolea ufafanuzi utata wa kisheria ulioibuka mahakamani leo.
4.Ikumbukwe kwamba kesi hiyo ilifunguliwa kwa hati ya dharura ijumaa ya
wiki iliyopita na kuanza kusikilizwa kwa upande wa jamhuri ukitakiwa
kujibu hoja kwa maandishi tarehe 3 na upande wa walalmikaji kujibu hoja
kbla ya tarehe 7 ambayo ni leo na kesi ilianza kusikilizwa leo mchana
saa 7.
KWAHIYO TUSUBIRI MAAMUZI YA MAHAKAMA KUU KANDA YA DAR ES SALAAM
No comments:
Post a Comment