Thursday, August 30, 2012

WITO KWA WANACHADEMA JIMBO LA VUNJO

kila mmoja ahimize utekelezaji wa chaguzi za chama zinazoendelea ususani ngazi ya MSINGI NA MATAWI ambao unaelekea kufikia tamati si kipindi kirefu sana.huu ni wajibu wa kila mwana vunjo,ifahamike chama moja ya nguzo za chama ni UONGOZI BORA NDANI NA NJE YA CHAMA.

WITO WANGU:
Vijana wa vunjo tushauriane kujitokeza kushiriki katika chaguzi hizi ili kuongeza kasi ya utendaji ndani ya chama hususani ngazi hizi za chini ambazo zinahitaji wawajibikaji maradufu ili kuweza kukijenga chama katika ngazi ya kijiji na mtaa.MAWAZO,NGUVU NA UTASHI wa kuwajibika tunao.
"Problems are there..we are LEADERS,we are able to SOLVE".

ANGALIZO:
Umakini mkubwa ndani ya chama na mabaraza ya chama kwa ujumla katika chaguzi hizi (KUZUIA MAMLUKI).
Na mwanaharakati Emanueli Mlaki

No comments:

Post a Comment