VITA
ya mahasimu wa siku nyingi katika siasa wilayani Nzega, Hussein Bashe
na Dk Hamis Kigwangallah imechukua sura mpya, baada ya makada hao wa
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufikia hatua ya kutishiana kwa bastola
hadharani.Hata hivyo, pamoja na taarifa hizo kuthibitishwa na viongozi
wa CCM wilayani humo na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Bashe na
Kigwangallah kwa nyakati tofauti kila mmoja amekanusha madai hayo
akimtuhumu mwenzake kuwa ndiye aliyekuwa na silaha.
No comments:
Post a Comment