MAREHEMU HAWA NGURUME
Aliyewahi kuwa mkuu wa wilaya za Kinondoni, Mbarali na
Iringa Hawa Ngurume, amefariki dunia leo asubuhi katika hospitali ya jeshi
Lugalo jijini Dar es Salaam.Imeelezwa kuwa Ngurume alikuwa akisumbuliwa na maradhi
ya Figo, Kansa na vichomi.
Kwa habari zaidi ungana nasi baadaye,
Kwa habari zaidi ungana nasi baadaye,
No comments:
Post a Comment