TUWAZE NNJE YA BOX
Tuwaze
Nje Ya Box hasa Serikali Ya Tanzania....Kwa Kawaida Mtoto ukimzoesha
viboko anazoea Viboko baadae ukimchapa hata kuwa anaumia kama awali.
Kume kuwa na Vitendo Vya Utumiaji Nguvu Sana sikuhizi baada ya Wananchi
Kugoma Kwa Makusudi, ama Kwa Itikadi zao, Serikali Inatumia Nguvu Hata
Watu kwenda Kuhesabiwa??Yaani how comes??Serikali Inatumia Nguvu Kuzuia
Maandamano Ya Vyama Vya Siasa, Serikali Imetumia Nguvu Kuwaondoa
Wamachinga, Serikali Inatumia Nguvu Kuwazuia Wanafunzi Wa Vyuo Vikuu,
Serikali Inatumia Nguvu Kuzuia Magazeti kama Mwanahalisi, Na Mwisho Wa
Siku Itatumia Nguvu Kuzuia tusiandike Facebook......My Worry Kuna Siku
Wananchi Watazoea Matumizi Ya Nguvu hasa Mabomu Ya Machozi na Risasi.
Ukiona baba Yako Mzazi anasema 'Ujue Mimi Baba Yako??" basi Ujue either
umemdharau au amepoteza uwezo wa Kuwa Baba limebaki tu Jina.
No comments:
Post a Comment