Friday, August 31, 2012

ASEMAVYO MWAKYEMBE KUHUSU KATIBA-ARUSHA

HIZI NI MOJA YA SABABU TANO KWA NINI TUNAITAJI KATIBA MPYA KWA SASA… WEWE UNASEMAJE!

--Katiba iliyopo sasa ilizingatia hali ya teknologia,ulinzi, ujamaa, utaifa, na mambo mengine mengi yaliyotuhusu moja kwa moja kwa wakati ule hali ambayo sasa imebadilika sana.
--Kuna mikataba mingi serikari iliingia wakati ule, bila kuzingatia kunufaika kwa watanzania waliopo sasa.
--Mikataba ya haki za bidamu Haikuzingatia muktadha wa maadili, mila na desturi zetu za kitanzania.

--Tunaitaji Kubainisha uitaji na utayari wa muungano kisha kuzingatia usawa na uhalali wa mgawanyo wa lasilimali za nchi.
--Tunaitaji Kubainisha hali ya usalama wa Taifa na mipaka yake kwa kuzingatia changamoto za kukua kwa teknologia na ongezeko la watu toka nchi za jirani. 
Mwl.Tuntufye Mwakyembe -Arusha

No comments:

Post a Comment