TUPO WANGAPI????
Tuko wangapi? Tulizana
"...Watu wengi walio
katika mahusiano ya wapenzi wengi kwa wakati mmoja wanafikiri kwamba
hawako katika hatari ya maambukizi ya magonjwa ya ngono ukiwemo UKIMWI
kwa sababu wana wapenzi wawili au watatu ambao wamekuwa nao kwa muda
mrefu. Lakini kuna uwezekano wa hawa wapenzi wakati huohuo wakawa na
wapenzi wengine ambao hawafahamiani. Kwa hali hii, wapenzi hawa
wanajikuta wakiwa wameunganishwa katika mtandao mkubwa wa ngono ambao
unamuweka kila mmoja wao katika hatari ya kuambikizwa virusi vya
UKIMWI..." Dr Fatma Mrisho, Chairperson, TACAIDS
No comments:
Post a Comment