Chezea
kwetu, Ni habari ya kweli na inasikitisha kwa kweli........Joseph Mapunda mwenye umuri wa
miaka 40 amesema ameweza kuishi kindoa na Mama yake Mzazi Condorada
Ngonyani 70 baada ya yeye kukubaliana wenyewe yeye na mama yake mzazi
kuishi kindoa kama mume na mke alipo ulizwa Mama alikiri kuwa kweli
wameishi kindoa kwa miaka 10 na anampenda Mume wake ambaye ni Mtoto wake
Joseph Mapunda.
ndo hawa hapa pichani.......
No comments:
Post a Comment