Thursday, August 30, 2012

KIBWAGIZO CHA SIKU TOKA KWA MWANA LIBENEKE HILI TOKA MOSHI.

Hahahaaaa CHADEMA bwana 2lizindua album ya "OPERESHENI SANGARA" ikafanya vizuri sana kwa wananchi na waka2unga mkono 2010 tukawashukuru na 2naendelea kuwashukuru japo bado wanaitaji "copy" nyingi zaidi. 2012 umefanyika uzinduzi mkubwa wa album ya "MOVEMENT FOR CHANGE" Mkoani Arusha imeanza kuuzika kwakishindo kuanzia Arumeru na sehemu mbalimbali nchin na mafanikio yake 2nayaona kuliko ya album iliyopita kwasababu 2naona uhitataji wake hii ni maradufu kwa hiyo 2meagiza zigongwe "copy" zaidi ya milion 3 mpya. Hapa hakuna "piracy" koz "copy" 2nauza wenyewe. Kwenye "show" ndo usiseme coz 2mefunika mbaya kila mkoa 2kishusha hema wa2 kibao na kama unvyofaham "show" ndo zinalipa, Ebwana CHADEMA nooouwma! haijawah tokea hii ni zaidi ya Bab Kubwa! Hahahahaaa kwahiyo muda c mrefu nitakuletea mahojiano ya moja kwa moja kutoka kule Hai Moshi kutoka kwa msimamizi wa "Ngoma" hizi za CHADEMA aki2pa cri ya mafanikio haya makubwa. Stay tuned!!! Rrrrrr.......dio.. CHADEMA Miambili na moja nukta tano (2015) CDM Fm! hahahaaa.
Na Mwanalibeneke Hili Daudi Massawe Himo.
0717932853

No comments:

Post a Comment