Tuesday, October 2, 2012

NEWS UPDATES: PICHA ZAIDI BASI LA DAR EXPRESS LIKITEKETEA KWA MOTO LEO ASUBUHI

Habari zilizotufikia muda mfupi uliopita zinasema watu 65 wamenusurika kufa eneo la Segera Mkoani Tanga baada ya basi la Dar Express lililokuwa likitokea Arusha kwenda Dar Es Salaam kuteketezwa na Moto.

Basi la Dar Express kutoka Arusha kwenda Dar linateketea kwa moto eneo la Segera, mkoani Tanga, abiria wote 65 wamenusurika.

1 comment: