Bunge au Seneti ya Marekani imepitisha mswada wa afya wa Obama kuwa 
sheria na utaanza kutumika tarehe 13/03/2013. Mswada huu utawataka 
Waamerika wote
 kupandikizwa chip yaani kifaa (kibanzi/upapi) 
kinachotumia mionzi ya redio kwa utambulisho (Radio Frequency 
Identification-RFID) ili kuweza kupata huduma za afya. Kifaa hiki 
kitapandikizwa kwenye paji la uso au mkononi.
   Hii ni kutimiza 
unabii uliopo katika Kitabu cha Ufunuo 13:15-18 unaohusu CHAPA YA 
MNYAMA! Je, bado una mashaka kuhusiana na siku za mwisho? JIANDAE!
 
Unyakuo umekaribia! Uwe tayari usije ukakutwa hujajiandaa. Ishi maisha 
yaliyo safi. omba zaidi, hubiri INJILI kwa wengine ili uokoe roho zao. 
Ufunuo 13 unatimia mbele ya macho yetu. Wengi bado hawajalitambua hilo.
   (1) Kwa nini hicho kifaa kinapandikizwa pale pale ambapo Biblia 
inataja kitakuwepo? Kwa nini mkononi na kwenye kipaji cha uso? Kwa nini 
siyo mahali pengine      popote?
   (2) Kwa nini kinaunganishwa na akaunti yako ya benki?
   Kumbuka Biblia inasema hutakuwa na uwezo wa kununua au kuuza kama 
huna hiyo chapa. Na Je, unafahamu! Kifaa hicho kinaunganishwa na taarifa
 zako zote zinazohusiana na pesa. Kinachouma moyo wangu kuliko yote ni 
kwamba watu wengi waliopo kanisani hawatanyakuliwa iwapo Yesu atakuja 
sasa? Wengi hawajui kwamba wakati umekaribia.Wala usiniambie kwamba haya
 ni maendeleo tu ya kiulimwengu, au teknolojia tu, au kitu cha 
kufikirika tu kama ndoto.
 Kama kuna eneo lolote katika maisha yako 
ambalo haliko sawa na neno la Mungu, ni wakati muafaka kugeuka kabisa 
haraka na kumrudia Mungu, tubu na jiandae maana mwisho umekaribia sana  
SASA...Jehanamu siyo mahali pazuri kabisa, na ukweli ni kwamba ni mateso
 ya milele...tafadhali, jiunge nami kupiga mbiu hii. Tuma kwa kila mtu 
unaye mfahamu....
 TAFADHALI fanya sehemu yako katika hili.
 UFUNUO 13:15-18
 
 "13 Naye afanya ishara kubwa, hata kufanya moto kushuka kutoka mbinguni
 uje juu ya nchi mbele ya wanadamu. 14 Naye awakosesha wale wakaao juu 
ya nchi, kwa ishara zile alizopewa kuzifanya mbele ya huyo mnyama, 
akiwaambia wakaao juu ya nchi kumfanyia sanamu yule mnyama, aliyekuwa na
 jeraha la upanga naye akaishi. 15 Akapewa kutia pumzi katika ile sanamu
 ya mnyama, hata ile sanamu ya mnyama inene, na kuwafanya hao wote 
wasioisujudu sanamu ya mnyama wauawe. 16 Naye awafanya wote, wadogo kwa 
wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe 
chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao; 17 tena
 kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa 
ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake. 18 Hapa ndipo 
penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; 
maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na 
sita."
(2) Kwa nini kinaunganishwa na akaunti yako ya benki?
Kumbuka Biblia inasema hutakuwa na uwezo wa kununua au kuuza kama huna hiyo chapa. Na Je, unafahamu! Kifaa hicho kinaunganishwa na taarifa zako zote zinazohusiana na pesa. Kinachouma moyo wangu kuliko yote ni kwamba watu wengi waliopo kanisani hawatanyakuliwa iwapo Yesu atakuja sasa? Wengi hawajui kwamba wakati umekaribia.Wala usiniambie kwamba haya ni maendeleo tu ya kiulimwengu, au teknolojia tu, au kitu cha kufikirika tu kama ndoto.
Kama kuna eneo lolote katika maisha yako ambalo haliko sawa na neno la Mungu, ni wakati muafaka kugeuka kabisa haraka na kumrudia Mungu, tubu na jiandae maana mwisho umekaribia sana SASA...Jehanamu siyo mahali pazuri kabisa, na ukweli ni kwamba ni mateso ya milele...tafadhali, jiunge nami kupiga mbiu hii. Tuma kwa kila mtu unaye mfahamu....
TAFADHALI fanya sehemu yako katika hili.
UFUNUO 13:15-18
"13 Naye afanya ishara kubwa, hata kufanya moto kushuka kutoka mbinguni uje juu ya nchi mbele ya wanadamu. 14 Naye awakosesha wale wakaao juu ya nchi, kwa ishara zile alizopewa kuzifanya mbele ya huyo mnyama, akiwaambia wakaao juu ya nchi kumfanyia sanamu yule mnyama, aliyekuwa na jeraha la upanga naye akaishi. 15 Akapewa kutia pumzi katika ile sanamu ya mnyama, hata ile sanamu ya mnyama inene, na kuwafanya hao wote wasioisujudu sanamu ya mnyama wauawe. 16 Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao; 17 tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake. 18 Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita."
 
 
 
 

 
No comments:
Post a Comment