Vijana machacahari Mtela Mwampamba na Juliana Shonza walioihama
Chadema hivi karibuni, wakiserebuka nje ya Ofisi ya CCM mkoa wa
Morogoro, baada ya msafara wa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM
(UVCCM) Taifa, Sadifa Hamis Juma kuwasili kwenye ofisi hiyo, Februari
28, 2013 kuanza ziara ya siku tatu mkoani humo.
Sadifa akipatiwa burudani ya shairi
na mmoja wa waghani maarufu wa mashairi mkoani Morogoro.Kulia ni Katibu
wa CCM mkoa wa Morogoro, Sixtus Mapunda
Mwenyekiti wa UVCCM, Sadifa Hamis
Juma akiwa na Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro, Sixtus Mapunda wakati wa
mkutano wa ndani kati ya Mwenyekiti huyo na wajumbe wa Baraza la Vijana
mkoa wa Morogoro
Mkuu wa Utawala wa UVCCM Taifa,
Abdallah Mpokwa akitoa utambulisho wa watu walioambatana na Sadifa
kwenye msafara huo, katika ukumbi wa CCM mkoa wa Morogoro
Kada wa CCM aliyehamia kutoka Chadema hivi karibuni, Mtela Mwampamba akisalimia baada ya kutambulishwa ukumbini.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mjini
Magharibi, Zanzibar, Juma Borafya akisalimia baada ya kutambulishwa
kwenye kikao hicho cha ndani. Wapili kulia ni Katibu wa CCM Wilaya ya
Morogoro mjini, Ali Issa, Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM, Taifa, Mfaume
Kizigo na Sixtus Mapunda
VIVA VIJANA VIVAAAA!!!!!, Katibu wa
CCM mkoa wa Morogoro Sixtus Mapunda akiongoza salaam maalum kwa Vijana
wa UVCCM ukumbini. Pamoja naye kutoka kulia ni Katibu wa CCM Morogoro,
Ali Issa na Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Mfaume Kizigo. Walioketi kushoto
ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro Harrieth Sutta na Mwenyekiti wa
UVCCM Taifa, Sadifa.
VIVAAAA!!!, vijana wakiitikia salam ya Sixtus ukumbini, baadhi yao ni Shonza na Abubakar Assenga
VIVAAAA, VIVAAAA!!!!, Vijana wakiitikia salam
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Morogoro Herieth Sutta akimkaribisha Sadifa kuzungumza kwenye mkutano huo. Kulia ni Sixtrus Mapunda
NAFURAHI KUWA NA WEWE! Sadifa
akimwambia Sixtus Mapunda kabla ya kuanza hotuba yake ya mkutano huo wa
ndani uliofanyika Ofisi ya CCM mkoa wa Morogoro
Sadifa akizungumza kwenye mkutano huo wa ndani
Sadifa akisisitiza jambo
Na kusisitiza zaidi
Sadifa akizidi kusisitiza hotuba yake huku viongozi wakiwa makini kumzikiliza
"Wapendeni waliowapinga wakati wa
uchaguzi" msiwanunie, kama mtu hakukuunga mkono leo kwa hili ipo siku
atakuunga kwa jengine", akasema
Sadifa akitoka na wenyeji wake ukumbini
Last edited by R.B; Yesterday at 13:57.
No comments:
Post a Comment