Najua kuna watu wangu mnafuatilia mchakato wa uteuzi wa kumpata mgombea urais Marekani. Dolnad Trump ni moja ya wagombea wa Republican ambao wamechukua headline sana na anaonekana kama kuelekea kufanikiwa hivi, usishangae ikaishie anaingia white house.
Mwanasiasa huyu mtata amezaliwa sehemu ambayo wazazi wana pesa, lakini mali zake zimekuwa zikiongezeka kutokana na biashara zake, sasa ana miaka 69 na ana utajiri wa unaokadiriwa kufika Dola bilioni 8.7 kwa takwimu za june 2015.
Donald Trump alianza kufanya kazi kwenye kampuni ya baba yake na akanza kupiga mpaka deal kubwa ukitaka kuufahamu zaidi utajiri wa mwanasiasa huyu na billionare angalia picha hizi hapa chini.
No comments:
Post a Comment