Najua kuna watu ni wapenzi wa magari mazuri mazuri, kwa sababu kila siku tunaona kuna aina mpya ya magari ambayo yanatambulishwa Duniani, nimeipata hii ya leoleo nikaona hata nisiikawize, na wewe mtu wa nguvu kama ungependa kujua kitu kipya kutoka Lexusbasi uipate hii.
Magari ya Lexus hata kwa hapa TZ yana watumiaji wengi sana, unajua wanajipangaje 2016 hawa jamaa? Hizi ni pichaz ambazo zimegusa headlines mitandaoni na mimi zimenivutia pia.. unaweza kuona pichaz nyingine za Lexus LX570 hapa, nje mpaka ndani.
No comments:
Post a Comment