Thursday, August 20, 2015

Albino 5 Tz warejeshewa viungo Marekani-Kwa hisani ya watu wa Marekani.

Mshirikishe mwenzako
Albino 5 raia wa Tanzania waliokatwa viungo wamerejeshewa viungo bandia Marekani
Watoto watano wa Tanzania wenye ulemavu wa ngozi waliokuwa wamekatwa viungo vya miili yao wamewekewa mikono na miguu ya bandia katika hospitali iliyopo nchini Marekani.
Watoto hawa ni miongoni mwa mamia ya watu wanye ulemavu wa ngozi nchini humo ambao wamekuwa wakiwindwa na watu wanaotaka viungo vya miili yao kwa shughuli za kishirikina
Watoto hao, mmoja wa kike na wanne wa kiume kutoka mikoa ya Kaskazini Magharibi na Kusini Magharibi mwa Tanzania, wamekuwa wakipokea matibabu hayo katika hospitali ya watoto Philadelphia Shriners Hospital iliyopo jijini New York.
Wanatarajiwa kurudi nyumbani Tanzania mnamo mwezi Septemba
Wakiwa na umri kati ya miaka 6 hadi 18, wanne wa watoto hawa walipatwa na majeraha makubwa ya kukatwa mikono na miguu yao, huku mmoja wao akiwa amekatwa taya na meno.
Tayari watoto wanne wamekwisha wekewa mikono na miguu ya bandia, wakati yule aliyekatwa taya akitarajiwa matibabu yake kuchukua muda mrefu zaidi
Shirika la msaada la Kimarekani Global Medical Relief Fund linafadhili matibabu ya watoto hawa.
Ofisa kutoka shirika la Under the Same Sun Martin Haule anasema watoto wanaendelea vizuri na kwamba ni wenye furaha
Shirika la Global Medical Relief Fund linafadhili matibabu ya watoto hawa.
Ameiambia BBC kwamba wanatarajiwa kurudi nyumbani Tanzania mnamo mwezi Septemba
Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, ulemavu wa ngozi unaathiri takribani mtu mmoja katika kila watu 15,000 nchini Tanzania.
Watu hawa wanawindwa kwa ajili ya viungo vyao, ambavyo vinatakiwa katika biashara haramu kwa matumizi ya shughuri za kishirikina
chanzo-bbc.com

WASIFU WA KINGWENDU KWA KIFUPI-NI MCHEKESHAJI MAARUFU NA MGOMBEA UBUNGE KUPITIA CUF

KINGWENDU's PROFILE.!
Majina yake halisi ni Rashid Mwinshehe, na jina lake la kisanii ni "Kingwendu". Kabila ni Mzaramo mzaliwa wa Kisarawe. Elimu yake ni Stashahada ya Uhasibu (Diploma in Accounting) kutoka chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA).
Kitaaluma Kingwendu ni Mhasibu. Amefanya kazi ya uhasibu ktk taasisi mbalimbali kabla hajaamua kuachana nayo na kujiingiza kwenye sanaa za maigizo ambapo anafanya vizuri ktk sanaa za vichekesho (Physical and Character Comedy).
Kwa sasa anagombea Ubunge jimbo la Kisarawe kupitia chama cha wananchi CUF akiwakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). Yeye mwenyewe anasema "mwaka huu CCM watageuka mapepe Kisarawe, wanaosema sijasoma waende TIA kuuliza records zangu.."
Alipoulizwa kwanini amechagua UKAWA na sio CCM kama wasanii wengine amesema "UKAWA ndio habari ya mjini, Ukijiunga UKAWA unapata raha duniani, aluu".

MOJA YA MAGARI MAPYA YATAKAYO INGIA SOKONI 2016:Tazama picha za muonekano wake

lexus-lx-570_100521961_m
Najua kuna watu ni wapenzi wa magari mazuri mazuri, kwa sababu kila siku tunaona kuna aina mpya ya magari ambayo yanatambulishwa Duniani, nimeipata hii ya leoleo nikaona hata nisiikawize, na wewe mtu wa nguvu kama ungependa kujua  kitu kipya kutoka Lexusbasi uipate hii.
lexus-lx-570_100521981_m
Muonekano wa siti ya dereva na abiria wake wa mbele.
2016-lexus-lx-570_100522024_m
Nyuma ya siti ya dereva na abiria wa mbele kuna hizi siti… watu wawili wanakaa hapo poa kabisa.
Magari ya Lexus hata kwa hapa TZ yana watumiaji wengi sana, unajua wanajipangaje 2016 hawa jamaa? Hizi ni pichaz ambazo zimegusa headlines mitandaoni na mimi zimenivutia pia.. unaweza kuona pichaz nyingine za Lexus LX570 hapa, nje mpaka ndani.
2016-lexus-lx-570_100522026_m
Nyuma ya siti kuna TV kubwa kabisa.
2016-lexus-lx-570_100522027_m
Siti zina uwezo wa kujikunja pia.
2016-lexus-lx-570_100522028_m
2016-lexus-lx-570_100522030_m
lexus-lx-570_100521952_m
lexus-lx-570_100521953_m
lexus-lx-570_100521954_m
lexus-lx-570_100521955_m
lexus-lx-570_100521956_m
Lexus LX570 muonekano wa mbele kwenye ubora wake kabisa yani.

lexus-lx-570_100521957_m

lexus-lx-570_100521958_m

lexus-lx-570_100521963_m

lexus-lx-570_100521964_m

lexus-lx-570_100521967_m

lexus-lx-570_100521973_m
lexus-lx-570_100521975_m

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza ameapishwa kuanza muhula mpya



Katika hotuba yake, Bw Nkurunziza ameahidi kumaliza ghasia nchini mwake katika kipindi cha miezi miwili. Maafisa wawili wa ngazi ya juu, akiwemo mkuu wa zamani wa ujasusi wameuawa katika mashambulio tofauti mwezi uliopita, baada ya uchaguzi uliokuwa na utata. Mwanaharakati mmoja wa haki za binaadam pia alipigwa risasi na kujeruhiwa. Kulikuwa na jaribio la kumpindua Rais Nkurunziza mwezi Mei.

Ninayo Ripoti toka China, hawa ndio waliokamatwa ndani ya mwezi mmoja kwa wizi mitandaoni

Cyber Crime enter key and handcuffs , full frame
Bado kama wiki moja na nusu kushuhudia Sheria ya Kudhibiti Matumizi ya Mitandao Tanzania ikianza kufanya kazi rasmi kabisa, hiyo ni kutokana na taarifa rasmi kabisa kutoka Mamlaka ya Mawasiliano TCRA.
Nimeipata Ripoti toka China, wao walianzisha kitu kinachoitwa ‘Operation Clean Internet’ ambayo ilianza mwezi July 2015, hii ni kwa ajili ya kupambana na wahalifu wa Mitandaoni.
cyber crime
Katika Upelelezi uliofanyika mpaka sasa kumekutwa matukio kama 7,400 ya uhalifu Mitandaoni inayohusishwa na kesi za ku-hack account za watu pamoja na Makampuni.
Mpaka sasahivi watu waliokamatwa China ni 15,000 kutokana na kutuhumiwa na kesi za kujihusisha na uhalifu kwa kutumia Mitandao , hiyo ni ndani ya mwezi mmoja tu toka waanzishe hiyo Operation maalum kabisa!!
Kwa kuanza kabisa kudhibiti hii kitu watu walitakiwa kuanzisha accounts Mitandaoni kwa majina yao kamili, pamoja na Bloggers wote kujisajili Serikalini.
source-Millady ayo.com

WAHAYA WANAJEURI ILA WALUO NI MWISHO WA TAMBO-Pata tofauti yao hapa

The party was a carnival of expensive delights, and even the region’s political elite were in attendance.
Jared went all out for the ceremony, and he even hired pricey corporate MC Jalango to host the function. Speaking to a local daily, Jalango said that Jared’s party brought Ndhiwa to a standstill.
“I trust this will be the wedding of the year. You should have seen the convoy of 18 Range Rovers and the Porsche Cayenne Jared was driven in. Literally, Ndhiwa came into a standstill. All hotels had been booked by the Meru team and we had to sleep in the cars. The cheapest drink was Black Label,” Jalang’o, the MC of the day, told a local daily.
In late May, Jared gave his fiancĂ©e the keys to their six-bedroom house – an act that symbolised that she had graduated from a girlfriend to a wife.
Otieno is expected to wed his flame Kendi Mwiti – the daughter of Dr Mwiti who is a popular scholar from Meru, in October, 2015.
Here are photos taken at Meru:
Jared K Otieno's expensive Porsche
Jared K Otieno’s expensive Porsche Photo/Courtesy
The interior of Jared K Otieno's Porsche
The interior of Jared K Otieno’s Porsche Photo/Courtesy
Of the choppers landing in Meru
Of the choppers landing in Meru Photo/Courtesy
The convoy of vehicles which headed to Meru
The convoy of vehicles which headed to Meru Photo/Courtesy
The huge crowd which gathered to witness the  event
The huge crowd which gathered to witness the event Photo/Courtesy
The attendees of the Jared K Otieno's dowry payment ceremony
The attendees of Jared K Otieno’s dowry payment ceremony Photo/Courtesy
The attendees of the Jared K Otieno's dowry payment ceremony
Of the choppers Photo/Courtesy
The top of the range convoy headed for Kendi's dowry payment
The top of the range convoy headed for Kendi’s dowry payment Photo/Courtesy
Jared K Otieno's fiance, Kendi Mwiti
Jared K Otieno’s fiance, Kendi Mwiti Photo/Courtesy