Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akikabidhiwa na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Moshi mjini, Ole Nesele fomu zilizotiwa saini na wanachama wa CCM, Ofisini hapo Juni 17.2015, kwa ajili kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,250.
|
No comments:
Post a Comment