Friday, June 19, 2015

LOWASA AWEKA HISTORIA MBEYA,YA ARUSHA YAJIRUDIA TENA,Magari yakodiwa kila kona ya mkoa.


 Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akitoka nje ya Uwanja wa Ndege wa Songwe na kulakiwa na umati wa WanaCCM wa Mkoa wa Mbeya
 Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Kijana Mwenye ulemavu, Ernest Mhagama aliekuja kumpokea katika Uwanje wa Ndege Songwe, Jijini Mbeya leo Juni 19, 2015.

 Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akiwapungia wanaCCM wa Mkoa wa Mbeya.

 Shangwe kwa wanaCCM wa Mji wa Mbalizi, Mbeya Vijijini.
 Mh. Lowassa akiteta jambo na Katibu wa CCM Wilaya ya Mbeya Vijijini.
 Umati wa wanaCCM wa Mji wa Mbalizi jijini Mbeya.
 Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akipokea fomu za WanaCCM zaidi ya elfu tisa wa Wilaya ya Mbeya Vijijini kutoka kwa Katibu wa CCM wa Wilaya hiyo, Mary Kalinze.
 Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akizungumza na WanaCCM wa Wilaya ya Mbeya Vijijini, kwenye mji Mdogo wa Mbalizi wakati aliposimama kuwasalimia.
  Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akiwasalimia wanaCCM na Wananchi wa Mji wa Mbalizi jijini Mbeya waliojitokeza kumlaki.
picha na habari kwa hisani ya michuziblog

No comments:

Post a Comment