ANGALIA PICHA MSAFARA WA MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA KATIKA JIMBO LA KALENGA AZUIWA NA POLISI MKOANI IRINGA
Polisi
mkoani Iringa wakiwa wameuzua msafara wa mgombea ubunge jimbo la
Kalenga, Bi Grace Tendega kupitia Chadema kwa madai hawakuwa na kibali
cha kufanya maandamano hayo ya magari hapa ni eneo la lango la mji
Samora ambapo msafara huo ulikuwa ukitokea maeneo la Ndiuka kuelekea
kwa msimamizi wa uchaguzi ili kuchukua fomu.
Mgombea ubunge wa Chadema Kalenga, Grace Tendega baada ya kuruhusiwa gari lake kupita
Hapa polisi wakimtazama mgombea huyo akipita mbele yao
Habari kamili itakujia hivi punde hapa endeleo kutembelea mtandao huu
PICHA NA FRANCIS GODWIN
No comments:
Post a Comment