HAWA NDIO WATOTO WA 2FACE WALIOKULA DILI ZA MAMILIONI KWENYE MATANGAZO YA TV
Hawa ni watoto wawili ambao
aliwapata na mama watoto wake wa tatu wanaitwa Nino na Zino ambao baada
ya matangazo mengine ya Tv ambayo yaliwaingizia mamilioni ya Naira, sasa
hivi wamekula dili la kutengeneza tangazo la juice kutoka kampuni ya
house of Chi. Mpaka sasa hivi wametokelezea kwenye matangazo makubwa kadhaa ya Tv kutangaza bidhaa mbalimbali yakiwemo maziwa. Mama yao mzazi ameandika kwenye
page yake ya twitter kwamba mtoto wake wa kwanza alipata dili la
tangazo la Tv akiwa na umri wa miaka miwili tu.
No comments:
Post a Comment