Friday, November 9, 2012

TRACE TV WANASEMA HAWA NDIO WAIMBAJI WATANO SEX WA KIKE DUNIANI KWA SASA.


Trace Tv ni kituo cha TV cha Ufaransa ambacho kina heshima kubwa kwenye burudani sehemu mbalimbali duniani kutokana na kuonyesha video kali za wasanii wa dunia, mtanzania pekee ambae video zake zinachezwa Trace ni AY.
Namba 5 ni Britney Spears.
4 Mwimbaji Rita Ora ambae yuko chini ya Jay Z.
3 ni Ciara.
2 ni Rihanna.
1 ni Beyonce.

No comments:

Post a Comment