Friday, November 9, 2012

HUYU NDIYE MSHINDI WA BONGO STAR SEARCH NA HAPA AKIKABIDHIWA MZIGO WA MIL.50

Walter Chilambo ameibuka mshindi wa shindano la Epiq Bongo Star Sesrch 2012 usiku huu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam baada ya kuwabwaga washiriki wenzake wanne alioingia fanali, hivyo kuzawadiwa papo hapo kitita cha Sh. Milioni 50.
Salma Yussuf Abushir amekuwa wa pili na Wababa Mtuka amekuwa wa tatu, wakati ndugu wawili, Nsami Nkwabi na Nshoma Nghangasamala hawakuingia tatu bora.
Walter akikabidhiwa begi lake la Milioni 50

Walter akiwapungia mashabiki baada ya kushinda

Walter akifanya vitu vilivyompa ushindi

No comments:

Post a Comment