Friday, November 9, 2012

HIZI NDIO PICHA ZA GARI ALILOPATA NALO AJALI KIPA SHABAN KADO.



Shaban Kado ambae anaichezea Mtibwa kwa Mkopo akitokea Yanga kaniambia kwenye gari alikua na mtu mwingine ambae ameumia kichwani na anaendelea vizuri, chanzo cha ajali anasema ni gari alilokua akipishana nalo kumfata upande wake ambapo katika mshtuko nae akahamia upande wa lile gari, yule dereva nae akarudi upande wake wakakutana.
.
.chanzo-millard ayyo.com

No comments:

Post a Comment